Learning Hub Tanzania ni App ambayo inamwezesha mwanafunzi kupata mahitaji yote ya kielimu, kwa urahisi, na gharama nafuu, wakati wowote, mahali popote.
Hapa utaweza kutapa notes za masomo yote, mitihani ya marudio ya kitaifa na majibu, mtihani ya ndani na majibu yake. Pia mwanafunzi ataweza kufanya mtihani wa kujipima na kupata majibu hapo hapo.
Mwalimu anapata maandalio ya somo yaani, “schemes of work”